Thursday, March 22, 2012


Ilikuwa mida ya usiku, baada ya kula chakula cha lala salama mke akamwambia mumewe

MKE: Honey, leo tubadilishe style. Kila siku style hiyo hiyo!

(Mume kwa furaha akajibu)

MUME: Kama ulojuwa mke wangu,jambo hilo lilikuwa mawazoni mwangu. Sasa leo tutafanya style gani?

MKE: Wewe utaosha vyombo, mimi niangalie TV.